Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya wahitimu kwenda VETA kupata ujuzi wa kujiajiri. Ni ushauri mzuri na wenye kutoa picha kubwa ya...
Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao!
Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM?
Jumaa kareem!
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah.
Kauli hiyo ameitoa leo...
Mambo yameanza kunoga.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo ametoa onto Kwa viongozi wote Waliopewa Dhamana za Kutatu
a Changamoto za Watu kuacha kulalamika Bali wachukue hatua.
Bila shaka tuendako kutanoga zaidi.👇
========
"Hatupo kwenye wakati wa kusubiri malalamiko ya watu waliopewa dhamana...
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa.
Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na...
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram Waziri wa Kilimo Leo Julai 13, 2022 amekutana kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa kujadili maeneo ya ushirikiano kwenye IDA20.
Pamoja na mambo mengine Bashe amesema mazungumzo yao pia yamegusia Swala la bei ya...
KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama wake katika maeneo husika hutumia fursa hii ya kidemokrasia ndani ya chama kugombea nafasi mbalimbali...
AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua namna Serikali ya Rais Samia inavyokabiliana na tatizo la ajira nchini. Changamoto...
ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu wa bajaji na bodaboda mkoa wa Dar es salaam kuwa watu hao, hawawezi kuondolewa katikati ya jiji hilo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa.
Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
#NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA.
"WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya kuchaguliwa na kuchagua."
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Ukumbi wa Diamond Jubilee -...
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
SASA NI ZAMU YA LOS ANGELES. NI KESHO ALHAMISI, UZINDUZI WA PILI WA ROYAL TOUR.
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya Juzi Jumatatu Aprili 18, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kuusimamisha Ulimwengu wakati akiongoza Uzinduzi wa Filamu Maalum ya Watanzania ya Royal Tour Mahususi kwa ajili ya Kutangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.