Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua Taifa zaidi Kiuchumi, Uwekezaji na Biashara.
Leo Jumanne Februari 22, 2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Barabara ya Uongozi yenye Km 1.8 Mjini Kibaha kuanzia saa 3 na nusu
Uzinduzi huu wa Barabara utarushwa Mbashara kupitia Channel 10, TBC, Wasafi TV pamoja na...
Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Cde Kenani Kihongosi akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu...
KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA.
Kagoma, Muleba.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA
Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:-
(a) Jumuiya za chama
Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AITAKA UVCCM KUACHA KUWA WAPAMBE BINAFSI WA VIONGOZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka viongozi wa mikoa na wilaya kutumia umoja wa vijana wa chama hicho kujenga miundombinu pamoja na miradi ya maendeleo wanayoanzisha...
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg. Zitto Kabwe.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 08 Septemba, 2021 Makao Makuu ya...
CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM
CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025.
GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA
Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru.
Pia soma
Gazeti la Uhuru: Rais...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.
Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam
#KaziInaendelea
#ChamaImaraSerikaliImara
Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya Katibu Mkuu wa CCM na kumpigia simu Waziri wa Ulinzi na kumtapeli.
Jamaa anasema alitafuta namba ya Waziri wa Ulinzi, akampigia na kujitambulisha kama Chogolo...
Na Mwandishi Wetu,
Mbeya Jiji.
Chama Cha Mapinduzi kimesema Utulivu na uimara wa CCM ni matokeo ya kuimarika kwa demokrasia ya ndani ya chama hicho hivyo viongozi na wanachama wamesisitizwa kutotoka katika utaratibu hususani wakati chama kikielekea katika uchaguzi wa ndani.
Kimesema sababu...
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Cde Daniel Chongolo akiongozana na wajumbe wa Sekretariet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamewasili Zanzibar Jumapili 4 Julai 2021 kwa ziara ya kikazi ya Siku mbili.
Mara baada ya mapokezi mafupi katika bandari ya Malindi Cde Chongolo na ujumbe wake walifika...
MBUNGE AACHIE JIMBO!
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma.
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.