Dar City Basketball Club, simply known as Dar City, is a Tanzanian basketball team based in Dar es Salaam. They play in the National Basketball League (NBL), and won their first championship in 2024. They will play in the Basketball Africa League (BAL) in the 2026 season.
Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika
Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui mnaita political mailage
Kama mjuavyo wanasiasa wa tanzania na nuksi zao mzee kikwete kaenda bas toka...
Timu ya kikapu ya Dar City inaendelea kufanya vyema huko Pretoria Afrika kusini katika mashindano ya kikapu Afrika Ukanda wa Kalahari.
Timu hiyo imeshinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa Kuifunga timu ya kikapu ya Nairobi baada ya kuifunga timu ya Johannesburg.
Tunaitakia kila la heri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.