Wanasiasa sio watu wazuri, Dar city yachakazwa tena

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika

Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui mnaita political mailage

Kama mjuavyo wanasiasa wa tanzania na nuksi zao mzee kikwete kaenda bas toka hapo timu yetu n vipondo tu na inaonesha itatepeta sana hii timu. Wawe makini na hawa viongoz wa kisiasa

Imepigwa na al ahly bengaZ ya libya na Jana Petro de luanda ya Angola
 
Petro de luanda unaichukulia poa?
 
Dooh! Kwa hiyo wanarudi zao home? Kichwa juu? Au chini
 
Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika

Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui mnaita political mailage

Kama mjuavyo wanasiasa wa tanzania na nuksi zao mzee kikwete kaenda bas toka hapo timu yetu n vipondo tu na inaonesha itatepeta sana hii timu. Wawe makini na hawa viongoz wa kisiasa

Imepigwa na al ahly bengaZ ya libya na Jana Petro de luanda ya Angola
Nilivyoona ule ushindi wa kwanza babutale wanajisnap na mtoto wa samia wannu huku akisema ushindi ule ni wa samia..
Basi nikajisemea GUNDU limeshaingia Dar city
 
Jana Rwanda kamchakaza vibaya Kuna mtu wa kuitwa Randal II kaweka record kupitia Danga city
 
Na jana kachakaa tena hapo ccm huwaon tena wanasubir trend nyingine wqjitokeze
 
Back
Top Bottom