Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio akiwa amelala tu kwenye sofa nyumbani kwake.
Katika mfumo huu, vijana wasio na ajira huko Dodoma...
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo hivyo na kundi la wanaume zaidi ya wanne. TLS imelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria...
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale VINGUNGUTI Machinjioni hakuna nyama ya mbuzi.
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jiji zima la Dar es...
Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma
Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?
Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile...
Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu
Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam.
Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka kumuhamisha nashauri uwapeleke shule hizi
Shule hizi zinaongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani...
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli.
Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili.
Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center kama ilivyo Buzuruga au Nata.
Tangu aje ni kuponda tu, jana nikamwambia twende tukatembee, nikamwambia...
Husika na kichwa cha barua hapo juu..
Sorry ni kichwa cha habari hapo juu...
Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango nikapata basi kuna zawadi nono itatolewa.
Sitaki mawazo ya et nijiunge bando ni download. Huko pote...
Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani!
Tulizoea huduma ni Masaa 24 ila kwa sasa huduma inaishia saa nane usiku!! Leo kwenye kuscan kadi upande...
Kama maudhui ya mada yangu inavyosema, nimeona nikubali hali ya sasa ya maisha yangu na jiji la Dar es salaam.
Kwa kukubali Dar es salaam sio tena ule mji au jiji niliwahi kuishi na kuwa na marafiki na ndugu. Baada ya kukulia, kusoma na kufanya kazi jijini Dar es salaam tangu nilivyozaliwa...
Wale wataalam wa lishe au wale wataalam wa mahesabu, cross multiplication HiI Imekaaje.
Wote ni watanzania ila matumbo mengine yanapokea full tank.
Niko mkoa ambao sitautaja,nimeshuhudia mtu na mkewe wakipija wali kilo mbili na kubakiza kidogo sana,kwa uzoefu wangu wakuishi Dar kili mbili...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Husika na kichwa tajwa hapo juu.
Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama.
Asante .
Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini.
Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾
Pia soma
- Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.