dar

  1. MaT2B

    Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  2. J

    Kodi za nyumba Dar es Salaam kuwa juu

    Hivi nini kinapelekea bei za kodi za nyumba dar es salaam kupanda sana na ghafla? Yani vipato havipandi ila bei za kodi za nyumba ni ghali sana na mnoo serikali inabidi iliangalie ili suala na liingilie kati. Yani mfano nyumba sinza chumba master, forced jiko ni laki nne kweli?
  3. julaibibi

    Wauza kahawa wa Dar na maeneo mengine

    Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya. Wanachokifanya hawa wauza...
  4. Melancholic

    Nauliza basi gani zuri la kutoka Dar es Salaam kwenda Musoma

    Habari za muda wakuu nauliza basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Musoma kwasasa. Na nauli zao zipoje? Aisee nimepamis sana home wakuu miaka minne imepita sijaondoka humu jijini.
  5. D

    Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

    Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana. Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara. Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri...
  6. ADESIGN

    Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo dar es salaam, kisiju (Iam seeking for a capital to start farming business in dar es salaam, kisiju)

    Habari Naitwa Aisha. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa heka 11 za kulimia tu, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba kisima...
  7. ADESIGN

    Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  8. Waufukweni

    Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
  9. Mangi wa Rombo

    Tunauza Mkaa kwa bei ya Jumla - Dar es Salaam , Madale.

    Habari! Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa. Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
  10. M24 Headquarters-Kigali

    Dar Express zimebaki Stori/Zilipendwa

    Ile kampuni pendwa ya USAFIRISHAJI nchini inapumulia Mashine baada ya Mama wa familia ambae alikua msimamizi Mkuu wa biashara kutangulia mbele ya Haki (RIP) Miaka kadhaa iliyopita. 1. Mabasi chakavu, 2. Hotel Korogwe, huduma mbovu, 3.Ofisi ya Kisutu kufungwa. **Wazee wa Kichaga kwann...
  11. Ndengaso

    Kazi yenye mshaara wa milioni 1.3 Dar es Salaam au mshaara wa laki 7 Mwanza ?

    Kote ni mjini, Kote nitapanga, Nina usafiri binafsi. Watu wanasema Dar es Salaam maisha ni gharama sana bora niende ya Mwanza. Mdau unashaurije ?
  12. A

    We’re starting a coding school in Dar es salaam (Some form of a Bootcamp)

    As the heading says, we are opening a coding school in Dar starting January 2025. This isn’t a formal announcement…as more professional ads will be coming soon. If interested for you or your friends or relatives…reach out with your email address (and phone number too if you’re comfortable...
  13. Waufukweni

    Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

    Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
  14. aBuwash

    Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  15. kiss daniel

    Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu Mshikaji akaniuliuza bro magari ya...
  16. Inside10

    Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  17. Kitomai

    Car4Sale Toyota Rav 4 Inauzwa Dar

    Ipo katika hali nzuri. Bei 13.5mil. kuiona tuwasiliane kwa simu 0784225000
  18. M

    KERO DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
  19. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  20. kyagata

    Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

    Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk. 1.Manzese 2.Magomeni 3.Mburahati 4.Kigogo...
Back
Top Bottom