dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Mungu niguse

    Kama kuna mtu anahitaji dada wa kazi naomba tuwasiliane mara moja kwa Dar (DSM).

    Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani . Yupo Dar DSM Kuhusu yeye Ana age 18 Darasa la saba Anatoka Mtwara vijijini Dini yake Muslim. Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
  2. N'yadikwa

    PICHA: UNAHITAJIKA MKAKATI WA KUSAFISHA FUKWE ZA DAR NYINGI NI CHAFU SANA

    Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco...
  3. mrjacksonkalulu

    General principle of private law university of Dar Es Salaam

    GENERAL PRINCIPLE OF PRIVATE LAW UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM AND 10 QUESTIONS RELATING TO IT
  4. S

    Wema unaofanya ukiwa Arusha kamwe hautafunika uovu uliofanya ukiwa Dar es Salaam!

    Huyu bwana ni wazi anasumbuliwa sana na uovu aliofanya Dar es Salaam, ambao ulitia ndani kuteka na kuua watu. Sasa hili linamchanganya sana kiakili, na huenda anapata ndoto na maono yanayomvuruga kichwa kutokana na damu alizomwaga moja kwa moja au kuratibu mipango ya damu hizo kumwaga...
  5. Lord denning

    Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

    Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa. Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
  6. Mkalukungone mwamba

    Dar: Polisi yawafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa katika operesheni maalumu na walipopimwa walikutwa na ulevi kwa kiwago cha zaidi ya miligramu 80. Soma...
  7. Riskytaker

    Tunaomiliki daladala Dar upepo wa biashara utaathiriwa sana na Mwendokasi

    Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua route za Bunju - Ubungo. Bunju - Makubusho Goms - Kariakoo Mbagala - Kariakoo. Hizi routes mapato /hesabu ya boss itapungua by half yani 50%. Ni vyema kuanza kuinvest kwenye sector nyingine.
  8. Zogoo da khama

    Safari ya Dar es Salaam kwenda Kampala

    Heri ya mwaka mpya!!!! Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10. Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli kwenda, malazi na sehemu nzuri za kufikia, masoko ya nguo za mitumba. Nataka nisafiri kwa bus, je ni...
  9. TRA Tanzania

    Dar es Salaam: TRA yavunja rekodi ya makusanyo mwezi Desemba, 2024

    Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
  10. Mtafiti77

    Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

    Ndugu wajuvi, Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema. Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba...
  11. M

    Dar es salaam limegeuka jiji la makelele, Serikali imelala?

    Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa. Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi. Wakati...
  12. R

    Mwenye trekta za kukodisha maeneo ya Dodoma , Iringa, Lindi, Pwani, Dar na Tanga tuwasiliane

    Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
  13. Mzito Kabwela

    KERO Kizungumkuti vyeti vya wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam

    Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Uduvi ndio kitu gani huko nyie watu wa Dar es Salaam?

    Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
  15. A

    KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  16. mimi mtakatifu

    Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  17. B

    Maandamano ya Jubilee Kuu 2025 jijini Dar es Salaam

    29 December 2024 Dar es Salaam Maandamano ya Jubilei Jimbo Kuu jijini Dar es Salaam 2025 https://m.youtube.com/watch?v=hDK2Hmt-zN8 yaliyoanzia kanisa la St Peters lililopo Oysterbay Mbuyuni hadi kanisa kuu la St Joseph eneo la Posta katika ya jiji la Dar es Salaam eneo la Posta. Huko Tabora...
  18. GenuineMan

    Ni aibu Kijana unaishi ndani ya Jiji kama Dar es Salaam halafu unateswa na mahusiano

    Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
  19. M24 Headquarters-Kigali

    Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

    Wauza uduvi wote Dar wapewa tahadhari ya kujiongeza vinginevyo WATAOLEWA! **Mwenye mahari anakaribishwa https://youtu.be/LIjez6dA9jw?si=-v8WNpI7o76jClr2
  20. chiembe

    Hivi wizara ya ardhi inapoteua Mahakimu wa mahakama zao huwa inawapa hadhi ya uchifu? Nimekuta wawili hapa Dar wana miaka 10

    Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
Back
Top Bottom