Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya...
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
Ujue katika mapambano ya kutafuta maisha hasa kwetu vijana huwa tunajitahidi kupita maeneo mbalimbali kurisk ili mambo yetu yatuendee vema.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilishawahi pita maeneo tofauti tofauti na kote huko nilipata experience mbalimbali zilizonikomaza kifikra na...
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu mkubwa utawahusisha viongozi wa juu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, wakiwemo Wakuu wa Nchi na Mawaziri wa Nishati na Fedha, ambapo...
Na Mwandishi Wetu
-Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika
-Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.
Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.
Shida nini?
matokeo ya form four kwa mwaka 2024 yametangazwa leo.
Kwa mujibu wa baraza la mitihani, ufaulu umepanda kwa asilimia tatu.
Ila huku kwenye shule za kata hali mbaya. Unakuta nusu ya wanafunzi wamefeli vibaya mno katika shule husika.
Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249...
awali ya yote niwapongeze Sana TRC kwa kukarabati treni zile za zamani hasa kwa upande wa mabehewa. Mimi nasafiri Sana na hizi treni zote ,yaani deluxe na ordinary.
Treni ya ordinary ambayo ndiyo ya zamani kimabehewa Mimi kwangu ni the best treni . Sababu kuu ni hizi .
1. Imekarabatiwa kukidhi...
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
https://www.youtube.com/live/98PbB_z9DZo?si=ErMXG6DXe_NNGU6_
Hawa watu wanaomwambia Mbowe hadharani kuwa amechoka sio wajinga wasikilizwe wamekuwa wengi huenda Wana hoja.
Huenda Mbowe akishinda CHADEMA itageuka kuwa kama CUF,TLP au NCCR,
#WAJUMBE KULENI YAMINI MKINUSURU CHAMA NA KIFO CHAKE
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
Habari,
Hii ni kwa ajili ya wadau waliopo mikoani (Nje ya Dar es Salaam) na wana shida ya kufika Dar es Salaam ili kutatua shida zao, Wanaweza kuokoa muda, gharama za malazi na usafiri, pamoja na usumbufu kwa kutuagiza sisi RMK Freelance services kushughulikia maswala yao
Huduma kama hii...
Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration."
Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.