Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkutano una lengo...
Wadau tupeane mbinu za kuishi wiki nzima bila umeme
Maana kwa maelezo ya Tanesco from tarehe 22 mpaka 28 dar na zanzibar tutakuwa gizani.
Kupisha substation ya Dar kufungwa transfoma na miundombinu mipya za kumudu umeme mwingi wa JNHPP.
Mwarabu anataka akabidhi bwawa asepe zake
Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja.
Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari.
Mnao wahi mkawahi. Labda vitapungua tena na tena kabla.
Halmashauri inatakiwa kujieleza kwanini wanadanganya wananchi.
Anonymous
Thread
dar
halmashauri
kabla
mabwepande
mauzo
mtandaoni
viwanja
Acha nifute tu mod mmekuwa wajinga mnawekanuzi kwenye matangazo ya nini nani kawaambia nafanya biashara
Moderator futeni huu Uzi mimi naangaika kuandika kwenye jukwaa nalotaka manaepeta kwenye matangazo siuzi chochote nyie vipi bhana
TAARIFA KWA UMMA
MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA
UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM
Jumatano, 19 Februari 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
Job Opportunity: Administrative and Consular Officer – Royal Norwegian Embassy, Dar es Salaam (February 2025)
The Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam has a vacant position for an Administrative and Consular Officer starting from early May 2025. The position will be part of the...
Za alasiri wana jf,
Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu
Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Elihuruma Mabelya, amesisitiza kuwa jiji hilo halitawavumilia wakandarasi wanaochelewesha miradi.
Tamko hilo amelitoa katika Viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya utiaji saini wa miradi mitano muhimu inayolenga kuboresha huduma za jamii na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki.
Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena?
Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje?
Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji.
Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
BUNGE LABAINI KUSUASUA USAFIRI WA MWENDOKASI (BRT) DAR
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa...
Bar maarufu inapangishwa Dar ipo kando ya barabara kubwa (Main Road), jirani sana na Azam Complex, Chamazi. Bar ina majiko makubwa ya kisasa mawili, lodge, parking kubwa, ukumbi wa wazi na huduma zote muhimu. Kwa mawasiliano piga namba 0753300097 Bei ni maelewano.
Habari wana Ndugu,
Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia
Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama
Mimi:Mambo Samahani Dada (Huku Nikiwa na Kiaibu cha Kuuliza Ofkoz Kuna Kiaibu fulani Ukiwa Unauliza ) Hivi Hapa Nikitaka...
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya Mikindani na ndiyo mjini.
Sikuamini! Mr. akanitia moyo na kuniambia nitazoea mazingira. Nikasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.