Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Inakuwaje wanajamvi.
Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo.
Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach.
Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora kuangalia yaliyosababisha ukafungiwa zanziber yasijejitokeza na huku. Pili huu mchezo ni kama hatarishi...
Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro.
Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
Kuna wajasiriamali Wengi Sana siku online wanatangaza kupika vyakula mbali mbali na kutangaza unaweza agiza chakula online ...kinakufikia...
Nna watu wengi waliowahi agiza vyakula kutoka restaurants mbalimbali wanakutana na changamoto nyingi Sana...
Kwanza ..kinachotangazwa na kinachofika...
Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
Nimeona wale vijana wa makachu wamekuja Coco beach.
Wazo langu naishauri wilaya ya ilala pale pangeboreshwa pakawekwa ngazi na retaining wall na pakasafishwa .
Pakiwa promoted ufalme wa Zanzibar utahamia Dar pale patakua kama Forodhani.
Afisa utalii changamkia fursa hii
Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti ya nauli inazidi 200USD anyway kupanga ni kuchagua!!
Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua
Hope ndege yetu inajaa!
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada
Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
Shura ya Maimamu Tanzania
MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI
Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya Nyang’andu kivule frema kumi jijini Dar es Salaam.
Sheikh Ulatule alikua gerezani kwa miaka 9...
NIlikuwa nasikia tu na kuona kwenye TV aisee
MH mama SAMIA kwa treni hii niliyopanda dar n Moro baadae Moro Dom
MH mama una mi 5 Tena inakusubiria
MUNGU akupe uhai na upendo WA kuendelea kuwatumiikia wananchiiiiba KUIPENDA nchi yetu
Wacha wale wahuni waumizane kugombea uenyekiti
Sisi...
Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia.
Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam
Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!.
Kuna Saa unajitahidi hata usiangalie pembeni ukaze macho mbele kama Robot 😎
OK hivi Kuna mkoa mwingne unapiku Dar kwa wanawake...
Gari aina ya Toyota Harrier lililobeba watu sita wa familia moja limepinduka baada ya kuacha njia na kuingia kwenye mtaro.
Ajali hiyo imetokea leo Desemba 20, 2024 eneo la Kizumbi katika Manispaa ya Shinyanga, saa 9 mchana.
Mmoja ya waathirika wa ajali hiyo, Diana Willibard amesema gari hilo...
Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread...
Hivi nini kinapelekea bei za kodi za nyumba dar es salaam kupanda sana na ghafla? Yani vipato havipandi ila bei za kodi za nyumba ni ghali sana na mnoo serikali inabidi iliangalie ili suala na liingilie kati. Yani mfano nyumba sinza chumba master, forced jiko ni laki nne kweli?