Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini. Timu sita kati yao zimebadilisha makocha ili kuepuka janga la kushuka daraja ambalo linaweza...