Wananchi wa kata ya sinoni na Themi katika halmashauri ya jiji la Arusha, wameiomba serikali kuwajengea daraja linalounganisha Kata ya Themi na Sinoni kutokana na Kuwa ni miaka zaidi ya mitano sasa imepita tangu kuvunjika kwa daraja la awali lilokuwepo.
Wakazi hao Wamekuwa wakipata shida...
MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU.
Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi.
Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
TANROADS DSM chukueni tahadhari, hasa idara yenu ya ukaguzi na maintainance
Daraja la waenda kwa miguu, cables ziko loose.
Kwa wanaohua mode of failure, cable ambazo ziko tight zaweza kukstika hivyo daraja kucollapse.
Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa...
daraja
hayati magufuli
january
january makamba
jina
jpm
magufuli
makamba
mradi
mshauri
mstaafu
mwanza
mwinyi
rais
rais samia
sababu
samia
ufisadi
wenyewe
UJENZI WA DARAJA LA BEREGA WAFIKIA ASILIMIA 68 KUKAMILIKA
Na. Geofrey A. Kazaula, Morogoro.
Ujenzi wa Daraja la Berega katika barabara ya Berega-Dumbalume Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umefikia asilimia...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja...
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960.
Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii?
Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31.
HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI?
Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky
Ukrainians should accept rolling blackouts as part of their lives, the president suggests
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky
Ukrainians should accept rolling blackouts as part of their lives, the president suggests
FILE PHOTO...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa vya kujengea daraja la John Pombe Magufuli, lililopo Kigongo-Busisi, akisema utaratibu huo umekuwa ukiwachelewesha mafundi kutekeleza ujenzi wa daraja hilo.
Kuanzia...
Salaam wakuu,
Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
Dar es Salaam. Serikali imefafanua kuhusu kupinda kwa daraja la juu la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa eneo la taa za Veta - Chang'ombe ikisema limejengwa hivyo kutokana na usanifu wake.
Akizungumza leo Novemba 15 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa...
Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka.
Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka —...
Kuna sehemu kule Juu unaona kabisa Bati limeanza kuachia huku Lami iliyoko kwa kule Juu nayo ikianza Kuisha.
Ni Daraja zuri ila liwe linafanyiwa Matengenezo na Uangalizi ili Kuliimarisha kwani kuna muda hata ukiwa kule Juu unasikia kabisa likinesa na Uimara wake kutia Shaka.
Ombi langu hili...
Takriban watu 132 wengi wako wakiwa ni Watoto, Wanawake na Wazee, wamepoteza maisha wakati daraja la waenda kwa miguu la Morbi likiporomoka katika Jimbo la Magharibi la Gujarat
Mashuhuda wanasema ajali hiyo imetokana na daraja hilo (ambalo lilifunguliwa tena wiki moja tu iliyopita baada ya...
Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze.
Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.