daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Bushmamy

    Daraja linalounganisha Kata ya Lemara na Sinoni ni miaka minne sasa hakuna mawasiliano

    Wananchi wa kata ya Lemara na Sinoni mkoani Arusha katika wilaya ya Arusha wamekosa mawasiliano kwa kipindi cha miaka minne tangu daraja linalounganisha Kata ya Themi Lemara na Sinoni lisombwe na mvua. Kwa muda wote huo wananchi wamekuwa wakilalamika wawekewe daraja lakini viongozi kutoka...
  2. GENTAMYCINE

    Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  3. Poppy Hatonn

    Hayati Magufuli alisema ujenzi wa Daraja la Selander umekorofishwa

    Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani) Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa...
  4. M

    Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini"
  5. Ntiyakama

    SoC01 Daraja kati ya Shule, Elimu na Maisha

    Miaka 0-5; umri huu watoto wengi katika jamii zetu huwa bado wapo nyumbani wakijifunza kuongea, kunawa, kula, kutambaa, kutembea, kukimbia, kurukaruka, kucheza na mambo mengine mengi wanayoyahitaji kwa ajili ya kuishi vyema na kwa furaha. Muda huu ni mzuri na wenye kufaa zaidi, kwa sababu mtoto...
  6. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  7. zimmerman

    Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  8. Q

    Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni idadi ndogo sana ya wakazi wa jiji la...
  9. Jakamoyo msoga

    Kadaraja kenyewe kafupi haka, kwa miezi 65 kalikuwa na uchungu

    I told them we are back
  10. N

    GSM waliishusha Majimaji FC daraja 2017

    Matapeli ya GSM baada ya kuitaka simba 2015 yakashindwana yalihamia Majimaji yalikuwa yakihaha kufunika uozo wao wa home shopping centre maana baada ya kudhamini kipindi cha ze comedy TBC waliona haitoshi soka ndipo kwa kuoshea jina Sasa leo lopolopo kijana la mzee tozi linatupigia kelele...
  11. Mchochezi

    Nicholaus Gyan atua DTB ya ligi daraja la kwanza

    Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB? Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Nchi hii Hakuna Daraja la Kwanza wala la pili. Wote Wana haki Sawa

    Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona uonevu, unyanyasaji, ukandamizaji pamoja na dhulma ndani ya jamii. Mimi hata awe mzazi wangu akileta...
  13. Jamii Opportunities

    Katibu Mahususi Daraja la III - Mkoa wa Tabora

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Ref.No.JA.9/259/01/31 25 Agosti, 2021 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Tabora anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi...
  14. Suley2019

    Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
  15. Red Giant

    Sehemu ya maji iliyoingia nchi kavu Dar, pale unavuka na feri au daraja la Kigamboni inaitwaje kwa Kiswahili?

    Eti wandugu sehemu kama ile kwa kiswahili inaitwaje?
  16. Travelogue_tz

    Wakazi wa Kigamboni watalipia daraja la Mwalimu Nyerere mpaka lini?

    Kwa sababu za kijografia , Wilaya hii imekuwa na changamoto ya kufikika kwa urahisi na hivyo kwa miaka mingi wakazi wake wamekuwa wakitumia huduma ya kivuko cha ferry au kutumia njia ya Barabara ya Kongowe, njia ambazo zimekuwa na shida kwa wakazi. Ujenzi huu ulianza ramsi Februari 2012 chini...
  17. mirindimo

    Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

    Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
  18. M

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  19. G Sam

    Nani anayegharamia ujenzi wa daraja la Coco Beach? Kama taifa tumewekwa kwenye kapu la akili ndogo?

    Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi...
Back
Top Bottom