Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
Kutokana na athari za mvua zile za mwanzo za mwezi Desemba mwaka jana daraja lililopo eneo la Mwanzo Kata ya kifuru-Kinyerezi lilikatika na kuharibiwa vibaya na hivyo kuleta changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo.
Mkuu wa wilaya ya Ilala alifika kwenye Desemba 17 kujionea athari na kuahidi...
Ni ushauri tu kwa viongozi wa serikali yetu ya Muungano Na Zanzibar kujenga daraja la Magari Na BRT kati ya Tanzania Bara Na Zanzibar.
Wachina wanaweza.
Mh.Rais,
Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
Mambo yanaenda....
The construction of the Dongo-Kundu bitch in Mombasa
TWITTER
ALI MANZU
Mombasa residents are now counting months to the completion of a Ksh22 billion project that took off in August 2021.
The project is aimed at connecting three main transport corridors including the...
Kampuni ya kikorea GS E& C wamemaliza ujenzi wa Daraja jipya la Selander ..mradi huu mkubwa utafunguliwa tarehe 27 Dec 2021.
Hii ni hatua njema ya ukamilishaji wa miradi yetu kama ilivyo kwenye Ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025.
Daraja hili lina urefu wa mita 670 Ni aina mpya ya daraja ambayo...
Katika hali ya kustaajabisha, nchini Marekani kumetokea wizi wa aina yake; ambapo wezi wabobezi wamefanikiwa kuiba daraja. Nisikuchoshe, jisomee mwenyewe.
======
Police in Akron, Ohio are baffled by the theft of an entire 58-foot bridge. The bridge had been sitting in a field awaiting...
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu.
Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu...
Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa.
Rais Samia amesema hayo katika sherehe za miaka 50 ya hospitali ya Bugando na kuwataka watanzania wafanye kazi kwa bidii...
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote...
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu.
Wananchi wamelia na serikali lakini wapi.
Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa...
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius.
Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
Kwa wasiojua Daraja hili lipo kwenye highway ya kutoka Dar es salaam kwenda Moshi / Arusha / Namanga na Tanga.
Urefu wake mita 500+
Ujenzi utakamilika 2022.
Daraja la zamani lilijengwa na mkoloni 1959.
Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B.
Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.