daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamii Opportunities

    Afisa Ustawi wa jamii daraja la II - nafasi 15 Wizara ya Afya

    POST AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II – 15 POST POST CATEGORY(S) SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT EMPLOYER Ministry Of Health (MOH) APPLICATION TIMELINE: 2022-05-05 2022-05-18 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 18 May 2022. CLICK HERE...
  2. K

    CRB iangalie upya upangaji wa madaraja ya Wakandarasi na thamani ya kila daraja

    Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.
  3. S

    Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  4. Webabu

    Wezi waiba daraja India

    Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar . Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa...
  5. chiembe

    Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  6. Keynez

    Kumbe lile daraja pale Kindondoni linaitwa Selander Bridge?

    Kwa miaka mingi, nilikuwa naliita hili daraja la karibu na Kinondoni na Upanga kama SURRENDER BRIDGE na nilidhani pia linaandikwa hivyo maana siku zote nasikia linatamkwa hivyo. Nimepita juzi nikashangaa mabango mawili tofauti yaliyopo kituo cha polisi pale yameandikwa SELANDER POLICE STATION...
  7. BigTall

    Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao...
  8. K

    Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  9. PendoLyimo

    Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  10. Baraka Mina

    Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  11. Idugunde

    Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  12. John Haramba

    Abiria wakwama Kilosa, Morogoro, ni baada ya reli na daraja kusombwa na maji

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
  13. John Haramba

    Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar

    Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar
  14. John Haramba

    Sh Bilioni 1.4 zatolewa ujenzi wa Daraja la Tembela, Mbeya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Tembela ili kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara na madaraja katika eneo hilo. Akikagua miundombinu ya barabara...
  15. V

    Naomba ushauri: Mwalimu ana TGS E ashushwe awe na TGS D ili afanyiwe recategorization kuwa mchumi au aazimwe aendele na cheo chake cha awali?

    Nina jamaa yangu amesoma BA with Education (Economics and Commerce) Ameajiriwa kama Mwl Secondary na Mwaka jana alipanda daraja TGS E. kuna nafasi imetokea halmashauri anayofanyia Kazi wamemwabia kama anaweza wamfanyie recategorization awe mchumi ila daraja litashuka kuwa TGS D AU wamwazime...
  16. Super Handsome

    Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  17. John Haramba

    Jerry Silaa: Kamati za Bunge zikapige picha kwenye daraja la Tanzanite

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha. Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni...
  18. Analogia Malenga

    Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha...
  19. Kurzweil

    NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  20. Baraka Mina

    Picha za daraja jipya la Selander

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ujenzi wa daraja jipya la Selander (Tanzanite) lenye urefu wa km 1.30 kwa 100% ambalo litakuwa suluhisho la changamoto ya msongamano kwa jiji la Dar Es Salaam na limeanza kutumika leo 01 Februari 2022 kwa wananchi kulitumia bila malipo.
Back
Top Bottom