Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo.
Bashungwa ametoa pole kwa...
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.
Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
SERIKALI YAJENGA DARAJA KUUNGANISHA VIJIJI VINNE MEATU, SIMIYU
Serikali Kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi Mil. 197 kwa ajili ya kujenga daraja la Mto Makomangwa linalounganisha vijiji vinne vya wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.
Awali wananchi...
Hii sijui ni comedy au ni reality ila either way hii inajumuisha mustakabali wa miradi mingi ambayo inakuwa chini ya viwango katika nchi za kiafrika kutokana upigaji.
JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI?
Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa karibu yake na wengine ambao Leo hii wapo madarakani Kwa sababu yake walianza kumnanga na kumkejeli...
Wana Jamvi JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto.
Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo.
Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/Sk3eDgwDVE4?si=IVZq6ptc4k0M_NPb
Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na...
YANGA YAIBEBA SIMBA ISISHUKE DARAJA 1988
Simba Msimu wa Pili mfululizo kunusurika, bali ushindi wao wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga uliwanusuru ilikua Jumamosi Julai 23, 1988 mwaka huo kwenye Uwanja wa Taifa uliifanya ilinde hadhi yake.
Mchezo huo ulikuwa ni wa marudiano wa Ligi Daraja la Kwanza...
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni?
Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika.
Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki.
Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi.
Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.