Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.
Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.