Tanzania inazidi kuwavutia mastar wakubwa Duniani, sasa ni zamu ya David Raya wa Arsenal

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.

Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri na wengine wengi sasa ni zamu ya David Raya.

Soma, Pia: Zlatan Ibrahimovic atua Serengeti, apost akijivinjari

Kizuri kinajitangaza wachezaji wanaambiana Uzuri wa Tanzania ndio maana wachezaji wengi wanakuja.

1750324585511.png

1750324555137.png

1750324548897.png

1750324541695.png

1750324530452.png
 
Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.

Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri na wengine wengi sasa ni zamu ya David Raya.

Kizuri kinajitangaza wachezaji wanaambiana Uzuri wa Tanzania ndio maana wachezaji wengi wanakuja.
Shida possibility ya wao kurudi tena ni ngumu, na hawafanyi uwekezaji
 
Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.

Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri na wengine wengi sasa ni zamu ya David Raya.

Kizuri kinajitangaza wachezaji wanaambiana Uzuri wa Tanzania ndio maana wachezaji wengi wanakuja.

Wabongo bana? So hii ni achievement kuuuubwa hii? hivi pamoja na manabiii na mitume waliojaa kila mtaa bado mungu hajaamua kuongeza bites kwa vichwa vya kaka na dada zetu tu? Tukeshe zaidi kuomba akili au tuendelee tu kuomba magari na nyumbaz? 😛 😛 😛 😀

My country...
 
Back
Top Bottom