dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  2. Mtoto wa Michael Jordan, akamatwa Florida baada ya kukutwa na dawa za kulevya

    Marcus Jordan, mtoto wa mwanamichezo maarufu wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, amekamatwa Florida kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine. Polisi walimkamata baada ya kugundua gari lake, Lamborghini, limekwama kwenye reli za treni, ambapo...
  3. Habari kubwa za magazeti leo Januari 10, 2025

  4. Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  5. Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  6. Waziri Masauni awaonya Wanafunzi na Wasomi matumizi ya dawa za kulevya

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaonya wanafunzi walioko shuleni, vyuoni na taasisi nyingine za elimu kuacha na kutojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya, kwani kushiriki katika matumizi ya dawa hizo itasababisha nchi kupoteza nguvu kazi ambayo inategemewa katika...
  7. Mume na mke watupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na kilo 11 za Heroine

    Nimesoma gazeti moja la jana nikasikitika sana sana. Kuna mume na mke wamekamatwa na heroine 11 kg, wamepigwa wote miaka 30 jela. Nikakumbuka kuna mchina alikamatwa na madawa akapewa adhabu ya faini sikumbuki kama alirudishwa kwao ama lah. Wauza madawa kazi mnayo, acheni ndio suluhisho.
  8. Kupambana na Dawa za Kulevya: Hatua Muhimu za Kuokoa Taifa Letu

    Dawa za kulevya zimekuwa tatizo kubwa linalohatarisha ustawi wa taifa letu. Athari zake hazijaathiri tu watumiaji binafsi bali pia jamii nzima. Uporaji wa ndoto na maisha ya vijana, kuzorota kwa uchumi, na kudorora kwa afya ya umma ni baadhi ya madhara yanayosababishwa na matumizi ya dawa za...
  9. Idadi ya watumiaji wa dawa za kulevya Duniani imeongezeka na kufikia watu milioni 292 mwaka 2022

    Kuibuka kwa dawa mpya za kulevya za kutengenezwa na rekodi ya usambazaji na mahitaji ya dawa zingine kumeongeza athari za dawa hizo ulimwenguni, na kusababisha kuongezeka kwa shida za utumiaji wa dawa za kulevya na madhara kwa mazingira, imesema Ripoti ya Dunia ya Dawa ya 2024 iliyozinduliwa na...
  10. A

    Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  11. Je, juhudi za kupambana kuzuia dawa asili za kulevya kama bangi na miraa zina matokeo yoyote?

    Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi wala mtumiaji mirungi amekosa mirungi. Nini hasa kifanyike kufanya hizi jitihada ziwe na matokeo...
  12. Ugunduzi wa aina mpya za Dawa za Kulevya daily ni anguko kuu kwa Vijana

    Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush' Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
  13. Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  14. DCEA yakamata Kilogramu 54,506.553 za Dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wakala wa misitu (TFS) imefanya operesheni katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Iringa, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam na kufanikiwa kukamata jumla ya Kilogramu 54,506.553...
  15. Esther Bulaya: Serikali iwekeze katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya

    Ester Bulaya ameshauri Serikali kuwekeza katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya, aliongelea kuwa multi clinic Nchini zipo 11 na wanaohitaji matibabu ni maelfu, asilimia ya dawa za kulevya kuzalishwa duniani imeongezeka na siyo dawa zote huwa zinakamatwa Nchini. Sober House zipo 40 nchini...
  16. Watuhumiwa wa Uhalifu pamoja na Dawa za Kulevya zakamatwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu. Akitoa taarifa hiyo leo Machi 18, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  17. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yatoa mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa (TAKUKURU) wa Wilaya zote Nchini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
  18. DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
  19. Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  20. R

    Kamishna Jenerali wa Kudhibiti dawa za kulevya nchini Ndugu Aretas Lyimo namwona kama kiongozi serious na anayeweza kulisaidia Taifa; hongera

    Huyu Bwana anahitaji pongezi kubwa sana. Anapambana na dawa za kulevya proffesionally siyo kisiasa kama watangulizi wake. Amebiresha mambo mengi kwenye taasisi hii kwa muda mfupi. Ameondoa Tambo za vyombo vya habari, amepiga marufuku kuchafua watu kisa siasa na sasa anakamata na kuchunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…