dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Dar es Salaam: Wanigeria wakamatwa wakisafirisha heroin

    RAIA wawili wa Nigeria, Prince Uche Igwilo(39) mkazi wa Bunju na Hanifa Ally Chig'wele( 22) mkazi wa Tegeta kwa Ndevu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilo sita za dawa za kulevya aina ya Heroin. Katika hati ya mashtaka...
  2. H

    Mexico: Makundi ya kuuza dawa za kulevya hutafuta Polisi na kuwaua

    MEXICO CITY (AP) — The notoriously violent Jalisco cartel has responded to Mexico’s “hugs, not bullets” policy with a policy of its own: The cartel kidnapped several members of an elite police force in the state of Guanajuato, tortured them to obtain names and addresses of fellow officers and is...
  3. H

    Watanzania 2 wakamatwa na kilo 15.6 za Heroin nchini India

    Watanzania wawili wamekamatwa na zaidi ya kilo 15 za heroin katika uwanja wa ndege mjini Chennai nchini India. Watanzania hao (Mwanamume na mwanamke) waliofika Chennai kwa ndege ya Qatar Airways 528 kutoka Johannesburg kupitia Doha, kwani hawakupata ndege ya moja kwa moja kwenda Bengaluru...
  4. Analogia Malenga

    Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30. Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na...
  5. Nafaka

    Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

    Leo nilikuwa ninatazama documentary mpya kabisa ya DW imetoka mwezi huu ambapo mwandishi wa habari na camera man wake walizama columbia wakiwa na jeshi la kupambana na biashara za dawa za kulevya kuchukua matukio. Kule ndipo zao linalimwa milimani na maporini, halafu huko huko linavunwa na...
  6. madabadaba

    Yajue makundi manne ya dawa za kulevya & madhara yake

    Kemikali yoyote au mchanganyiko ambao huleta mabadiliko ya kihisia na ufahamu ni dawa za kulevya. Matumizi ya dawa za kulevya huleta utegemezi na usugu. Utegemezi ni hali ya kushindwa kuishi maisha ya kawaida mpaka utumie dawa ya kulevya. Utegemezi huo huwa wa kisaikolojia na kiafya. Kuna...
  7. Analogia Malenga

    Raia wiwili wa kigeni wahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine

    RAIA wawili wa Iran Nabibaksh Pribaksh Bidae nahodha wa Jahazi na Injinia wake, Muhamad Hanif wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine zenye uzito wa kilogramu 111.02. Hukumu hiyo ya kesi ya uhujumu uchumi...
  8. Miss Zomboko

    Shamimu Mwasha na mumewe wakutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kuanza kujitetea Septemba 3

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), wana kesi ya kujibu. Kadhalika, mahakama hiyo imesema wanafamilia hao wataanza kujitetea kesho (Septemba 3). Uamuzi huo umetolewa jana na...
  9. CRI Swahili

    China: Rais Xi Jinping asisitiza kuendelea na msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
  10. Cannabis

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yafuta mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mfanyabiashara Mussa Mohamed

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine. Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali,Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi...
  11. The Sheriff

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam. Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa...
  12. FRANC THE GREAT

    Ufilipino: Vita ya Rais Rodrigo Duterte dhidi ya dawa za kulevya "imeshindwa vibaya"

    Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa. Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu"...
  13. figganigga

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imemkamata mfanyabiashara, Abdul Nsembo maarufu Abdukandida na mkewe, Shamim Mwasha kwa tuhuma ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin. Wanandoa hao wanadaiwa kukutwa na dawa hizo zenye uzito wa zaidi ya gramu 400 nyumbani kwao...
  14. Return Of Undertaker

    Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na...
  15. Afyayaakili

    Syndicate ya drug delears Tanzania-South Africa

    Pushing heroin through South Africa: The telephone line distorts. “We need to hurry up man, seriously dog,” says Mark*, the American voice on the one end of the line. “If these people leave, somebody owes me money, dude, because I am not carrying that shit.” “Okay, there is no problem...
  16. BAK

    Drugs: No teamwork, says TCAA director

    Drugs: No teamwork, says TCAA director By Elisha Magolanga Dar es Salaam. The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) director general, Mr Fadhili Manongi, has blamed the increase in drug trafficking on lack of cooperation from key agencies whose role is vital if the war against the kingpins...
  17. BAK

    Tanzania's Police Force is rotten

    Where do the drugs police cease go? By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. In the wake of the suspension of senior law keepers over their alleged involvement in stealing exhibits under their custody, concern is mounting over where the hundreds of kilogrammes of...
Back
Top Bottom