Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi.
Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya.
Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mjini Magharibi Amina Ali Mzee alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo ya vijana dhidi ya dawa za kulevya yaliyoandaliwa na taasisi ya vijana Mwembetanga Youth Organization (MYO)
Amina Mzee amewapongeza sana taasisi ya vijana ya Mwembetanga Youth Organization...
Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake.
Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich kwenye pindo la suruali na kete nyingine akiwa amemeza.
Adres Felipe Ballesteros ni Baba wa watoto...
Bogotá Colombia 13 OCT 2022
Dar es Salaam 13 Oct 2022
Raia wa Colombia hatimaye ataachiwa baada ya plea bargain US$ 25,000 baada ya kusota katika gereza jijini Dar es Salaam kwa miaka nane tangu mwezi Julai mwaka 2014 hadi mwezi October 2022.
Ndugu na jamaa zake waliendesha kampeni kubwa juu...
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM-TANZANIA
Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
Veronica Matikila akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Nchini Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya, amesema leo Disemba 21, 2022 wameteketeza kilo 584.55 za dawa za kulevya zinazojumuisha kilo 569.25 za Heroin, Cocaine kilo 15.3 na Tani...
Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na dawa za kulevya (ADU), Godrey Nzowa anatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya Sh559 milioni inayomkabili raia wa Liberia, Ndjane Abubakar.
Abubakar anadaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin.
Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa watatu ambao ni washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya, Gerald Kusaya amesema kati ya mwaka 2021/22 wamekamata Kilo 11,974.4 za Dawa hizo nchini huku mikoa hiyo ikiongoza.
DCEA Kusaya amesema "Mikoa hiyo inaongoza kutokana na jiografia yake ilivyo sababu Dawa nyingi zinazomakatwa...
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.
Sambamba na boss wa Cambiaso
================
Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
Dj walete na song letu la Iyena iyena.
Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya.
Ni kipi kimekushangaza?
Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa,
Aina ya dawa za kulevya,
1. Heroin
2. Bangi
3. Cocaine
4. Dawa za tiba zenye asili ya kulevya
5...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
Mnyonge mnnyongeni ila haki yake apewe huyu bwana makonda aliweza San kupamban na wazambazaji wa dawa za kulevya na ama hakika dawa ziliadimika na kupotea kbsa kipindi hicho wauuzaji walikimbia nnchi nakutokomea kuziko julikana.
Nilimuona makonda kwa macho yangu akibubujika machozi ktk kanisa...
Andiko langu litakua na sehemu tatu kuu, sehemu ya kwanza dawa za kulevya na maana yake. Sehemu ya pili urahibu wa dawa za kulevya na athali zake. Sehemu ya tatu namna ya kuepukanana na hili janga.
DAWA ZA KULEVYA.
Dawa za kulevya ni aina ya kemikali zitumikazo katika mwili wa mwanadam kwa...
Tunapo elekea kwenye kilele cha maadhimisho ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya ambapo kilele ni tarehe 1/7 na trh. 2/7, kama nchi tunapaswa tujitathimini hali yetu kama nchi, Je vita ya kupambana na madawa ya kulevya insaidia kupunguza au hali ni mbaya?
Nini kifanyike ili kukomesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.