dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. dopamine-B

    Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  2. JanguKamaJangu

    Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  3. S

    Kwanini madaktari hawa prescribe Headex kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake?

    Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS? Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
  4. T

    Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  5. T

    Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  6. Candela

    Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa. Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza...
  7. Roving Journalist

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yabaini Kiwanda Bubu Arusha kinachotengeneza Dawa Bandia za mifugo

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
  8. KIXI

    Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
  9. R

    Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
  10. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
  11. C

    Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  12. Roving Journalist

    Ummy: Msimamo wangu TMDA wasimamie Maduka ya Dawa, Baraza la Famasia libaki kwenye taaluma

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema “Msimamo wangu tubadilishe Sheria ili Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ndio isimamie maduka ya Dawa kisha Baraza la Famasi libaki kusimamia taaluma, TMDA ina nguvu na inaweza kufanya kazi." mesema hayo Novemba 17, 2023 katika Kongamano la Tatu...
  13. benzemah

    Muhimbili yasaini mkataba kuboresha upatikanaji dawa Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imesaini mkataba wa makubaliano na kiwanda cha Kairuki KPTL kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa dawa Muhimbili upanga na Mloganzila. Mkataba huo umeanisha maeneo mawili,Kuboresha upatikanaji wa dawa ambazo hazipatikani kwa urahisi kwenye soko ikiwemo...
  14. B

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  15. Mganguzi

    Ofisi ya Mfamasia Mkuu inawanyanyasa sana wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini

    Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi, ukaguzi kila siku kwa nia ya kujipatia rushwa! Madawa yote hata yale ya kawaida ambayo tulizoea...
  16. Vincenzo Jr

    Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  17. MEGATRONE

    Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Habarini members, Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale! Natanguliza shukurani
  18. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  19. sky soldier

    Picha: Kuna dawa ipi nzuri ya kusahau haraka?

  20. hermanthegreat

    Nisaidieni dawa ya mguu kuvimba

    Wakuu habari Naombeni mnifahamishe hili ni tatizo gani na linatibiwa aje? Asanteni.
Back
Top Bottom