dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  2. T

    Dawa ya kuchua

    Habarini... Naomba kuuliza ni dawa gani ya kiasili ya kuchua kwa mtu aliyepata mpasuko (fracture)kwenye mbavu. Nawasilisha.
  3. Tuache unafiki, karibu kila Mtanzania kawahi kwenda kwa mganga ama kununua dawa zao ila wengi tunafanya kwa siri

    Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena. Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
  4. S

    Dawa ya kienyeji ya mtoto mchanga mwenye mafua

    Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji) Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua. Fanya kitu kimoja: Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
  5. S

    Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Wadau nipeni mix ya dawa za kumvuta mke ambae yuko mbali na hataki kurudi
  6. R

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    INTRODUCTON. Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama, Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona, mshahara hautoshi. Naongea na wenye biashara ndogo na za kati ambao wanafanya juhudi zote kujitoa...
  7. DOKEZO Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  8. Hezbollah waanza kupewa dawa ya moto

    Mapigano yanaendelea kwenye mpaka wa Israel na Lebanon, ambapo hadi dasa wanamgambo 40 wa hezbollah wameuawa. Source: CRI Kiswahili
  9. Jamii yashauriwa kuacha tabia ya kumeza dawa bila kupima, hali hiyo inatengeneza usugu

    Dkt. Medard Beyanga Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari. Amesema jambo la kwanza la...
  10. Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

    Serikali ya Rwanda imetuma Tani 16 za msaada wa Vyakula, dawa za binadamu, vifaa vya matibabu kwa Watu wa Gaza Nchini Palestina kutokana na vita inayoendelea baina ya Israel na Kundi la Hamas. Naibu Msemaji Mkuu wa Serikali ya Rwanda, Alain Mukuralinda amesema misaada hiyo imefikishwa kupitia...
  11. Dawa hii kuna mwenye taarifa zake?

    Mssada wa hii bidhaa
  12. R

    Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  13. Tanzania kuanza uzalishaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya VVU (ARV)

    Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi ARV ni miongoni mwa zitakazozalishwa. Makubaliano hayo ya...
  14. Msaada wa dawa ya ulcers

    Hamjambo!? Kuna kipindi kama miaka 2 nyuma nilikuwa nafatilia mijadala ya Dawa za vidonda vya tumbo. Sikumbuki vizuri ila nishaona zaidi ya mara tatu kuna watu wanashauri dawa flani hivi ni za hospital zipo za aina tatu unakunywa pamoja zinaponesha kabisa Sio Omeprazole wala Kit eligo...
  15. S

    Dawa ya kuchelewa kunyuri

    Nina tatizo sugu ila nahisi sio peke yangu, nilisikiliza comedy moja ya black america yule aliepigwa kofi na Wily Smith, alisema usisikie sijui unaweza kunyuri mara mbili au tatu, alidai hayo ni maneno ya kupeana moyo tu, ukishapiga goli moja ndio imetoka, kuendelea na game ni kutafuta...
  16. NADHARIA Mkojo ni dawa ya magonjwa mbalimbali

    Magonjwa mbalimbali yametufanya binadamu kubuni tiba aina mbalimbali ambazo zitatusaidia kuondokana na magonjwa hayo. Moja ya tiba iliyobuniwa na binadamu ni pamoja na mkoja wa binadamu kama tiba ya magonjwa mbalimbali. Tena unaambiwa ukipata mkojo wa asubuhi ndio kiboko ya magonjwa kama...
  17. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  18. U

    Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya kuua Panya, unga mweusi umedunda

    Ni miezi sasa panya wamekuwa wananisumbua sana! Nimejaribu dawa za unga mweusi zinazouzwa dukani zimeshindwa, zile za pellets ndiyo hamna kitu!! Panya hawa huingia ndani mwangu kuanzia jioni na hunichachafya hadi asubuhi! Nimewafuatilia naona wanatoka kwa jirani Kwangu kuna fence ajabu...
  19. Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…