dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  2. Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  3. Upatikanaji Dawa Muhimbili Wafikia Asilimia 97

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
  4. R

    SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
  5. Dear Beautiful Sunshine(Cheusi Dawa)

    Dear Beautiful sunshine, I hope this puts a smile on your face because whenever someone calls me handsome, it makes me smile. Every morning look at yourself in the mirror and say"I love you, beautiful. I really, really love you sunshine" And then smile at yourself. You are worth the love. And...
  6. K

    Dawa gani inasaidia kuondoa upofu?

    Habari? Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya). Hajawahi kuwa na ugonjwa wa macho tangu ametotolewa. Mwenye kujua dawa humu anisaidie kwasababu dawa za...
  7. Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  8. KWELI Maziwa huharibu ufanisi wa baadhi ya dawa

    Nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu mbalimbali kuwa pindi hutumiapo dawa zozote basi itakupaswa usitumie maziwa aina yoyote kwasababu matumizi ya maziwa hupunguza au kuondoa kabisa ufanisi wa dawa hizo hivyo kupelekea kutotibu ugonjwa uliokusudiwa. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo...
  9. Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

    2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
  10. Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
  11. Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  12. Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno. Tafadhali msaada wenu.
  13. Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  14. Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  15. Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  16. DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  17. Hospitali ya Muhimbili yaongoza kitaifa kwa utoaji taarifa za madhara yatokanayo na dawa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeongoza kitaifa kwa 57% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo kwenye utoaji taarifa za madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kati ya taarifa zote zilizopokelewa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kwa miaka ya fedha ya 2020/21, 2021/22 na 2022/23...
  18. SoC03 Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini? Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
  19. M

    Dawa ya kuacha sigara

    #FAHAMU Ibrahim Yücel raia wa Uturuki aliamua kuvaa kofia maalumu kwa ajili ya kujizuia na uvutaji wa sigara baada ya kushindwa kuacha uvutaji. Kofia hiyo alifunga kwa funguo maalumu na kumkabidhi mtu mmoja ambaye alikuwa akimfungulia muda wa kula chakula tu. Mwanaume huyo alisema kuwa alianza...
  20. SoC03 Vichochezi vya matumizi ya dawa za kulevya

    Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo. Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo vile kusema ukiuma moyo na mwili wote utauma.. kulingana na kichwa cha stori hii kikihusiana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…