dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga. Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
  3. Rose tesha

    Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  4. A

    Msaada: Naomba kujuzwa dawa ya kuua na kufukuza popo

    Nyumba yangu kuna popo wanajificha kwenye mbao nilizoezekea. Wanakera sana, nitumie dawa gani jamani?
  5. S

    Hakuna dawa inayoua taratibu. Dawa kazi yake kutibu, msidanganywe

    Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu. Kama ipo itaje, taja na side effect yake tujifunze.
  6. Roving Journalist

    Kamishna Jenerali Aretas James Lyimo atangaza vita mpya dhidi ya dawa za kulevya nchini. Kuanza na vijiwe vyote

    KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
  7. benzemah

    TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

    Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia JISOMEE HAPO...
  8. Zingzingzing

    Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  9. figganigga

    Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  10. Mowwo

    Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

    Wakuu habari, Kwa mwenye uelewa tusaidiane. Watoto wa shule za primary wamekua wakipewa dawa za meno na mswaki kwa lengo la kuhamasisha usafi wa kinywa. Licha ya nia kua nzuri lakini pamekua na sintofahamu ikidaiwa dawa za meno zinazotolewa zina madhara kwenye upande wa hormones. Wadau mnaopita...
  11. U

    Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
  12. T

    Katiba itatoa dawa ya Uzalendo ama tunalilia tusichokijua kwanza?

    Kuweka tumaini kubwa kwenye katiba kwamba ndio itamaliza matatizo yetu yote, ni kujidanganya. Sina hakika na siamini kama vyama vyetu vyenyewe ikiwa katiba zao zimetoa nafasi kwa viongozi wake wawe ni wa kudumu na kwamba hawawezi kutoka mpaka waseme basi,, Si kweli, zaidi sana wanakosa kitu...
  13. BARD AI

    Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  14. Orketeemi

    Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

    Rais Samia ametengua uteuzi wa katibu tawala wa mkoa Lindi ndugu NGUSA SAMIKE. Naona mama anatupa jongoo na mti wake kabisa.
  15. Nihilist

    Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

    Wasalaam wana jamii forums, Ni muda tena natokea hapa jukwaani jioni ya leo nikiwa na shauku la kupata mwanga kuhusu upatikanaji wa dawa hizi za kuongeza ukakamavu kama mwanaume, kwani bila dawa hizi naweza kupatwa na mapungufu haya.. -Kuchoka mara kwa mara atakama sijafanya kazi...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Mtu mzima dawa

    Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee atoa Mafunzo ya Vijana dhidi ya Dawa za Kulevya

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mjini Magharibi Amina Ali Mzee alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo ya vijana dhidi ya dawa za kulevya yaliyoandaliwa na taasisi ya vijana Mwembetanga Youth Organization (MYO) Amina Mzee amewapongeza sana taasisi ya vijana ya Mwembetanga Youth Organization...
  18. Mhafidhina07

    Uso wangu una vidude vyeusi, nisaidieni dawa

    Ndugu zangu Naomba kwenda direct to the point uso wangu una vidude vyeusi kama vitano exactly sijui vinaitwaje please kwa anayejua tusaidiane dawa.
  19. Berlin storm

    Dawa hizi zinaponesha fangasi?

    Et ndugu, kuna mtu aliyewahi kuugua fungas sugu akatumia izi sindano zikamsaidia gentamicin injection au seftriason injection kama yupo aseme.
  20. UrbanSaint

    Hii ndio dawa ya wanawake wajanja wanjanja

    Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli! Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention...
Back
Top Bottom