dawasa kibaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

    Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea. DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu? Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?
  2. Emmanuel Ndegeya

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo la Upatikanaji wa Maji Kibaha Mji kata ya Pangani na Vitongoji vyake

    Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi sasa kwa wakazi wa Kata ya Pangani mitaa ya Mtakuja, Kidimu, Pangani yenyewe na mitaa mingine...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika...
Back
Top Bottom