DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,381
Reaction score
11,296
Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea.

DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu?

Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?

IMG20250831083454.jpg
 
View attachment 3459594
MBEZI BEACH TUNA MAJI HAYA MWAKA SASA MKUU HUKO N PROCESS ENDELEVU MKUUJUJ

NA MJIPANGE MA FUNGUS MINYOOO KUHARISHA

HUKU NUSU YA WANAUME WANATEMBEA WANAJIKUNA SEHEMU ZA SIRII MKUU

TOKA HAYA TUNAYOPOKEA
 
MBEZI BEACH TUNA MAJI HAYA MWAKA SASA MKUU HUKO N PROCESS ENDELEVU MKUUJUJ

NA MJIPANGE MA FUNGUS MINYOOO KUHARISHA

HUKU NUSU YA WANAUME WANATEMBEA WANAJIKUNA SEHEMU ZA SIRII MKUU

TOKA HAYA TUNAYOPOKEA
Hii nchi yetu ni kiboko!!!
 
Hii nchi yetu ni kiboko!!!
Na wanakwambia tumesambaza maji asilimia 87.5 nchi nzimaaaa haha bila kusema majiya aina ganii aisee nondenikawe vijana wanafungus za pumbu kila nyumba njoo mbezibeach huko n hataree yaan pharmacy wanatukomaa mamaa...kila siku t unadai fulconazole....cream...kama sio albendazole na ...
 
hakuna nyumba haina grycofulvin dadakeee na wengine wamejiongeza wananunua mafuta ya taa wanachanganya na mafuta ya nazi wanajipaka sehemu za siri wasiwashwe kwahio Mdadaa ukisikia harufuyamaftayataa lodge kitandan usigune ujue huyokatokea kawe ama mbezibeach mvumilie tu mpe ibadaa atoe ganzi
 
ukija kawe ama mbezi Beach usithubutuu kushikana mikono hata awe mjombawako mpe ngumi anza utaokoa maokoto kadhaa kwenda pharmacy
 
Back
Top Bottom