Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya...