Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani.
"Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Shaban Millao mara baada ya kupokea barua ya kuhitajika kwa msaada wa mtoto Abuyasili Abdi Iddy mara moja ameacha kazi zote ofisini na kufika katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu ili kufahamu shida na utatuzi wake...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
Wanasheria tusaidieni kujua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (DED) ana amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani masaa 24.
Hata hivyo Kwa uzoefu wa Vijijini tulikokulima Watendaji Huwa wanawaweka watu ndani Kwa kutumia Migambo,Je sheria inawaruhusu?
My Take
Waziri tumechelewa sana kuonya...
Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea
Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda.
Mara anakwenda na mafailli nyumban nk.
Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko..
Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA
Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi.
Uchunguzi huo ulioanza mwanzoni mwa Novemba 2023, ulitokana na agizo la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!
BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake.
SCENARIO
Ila Mimi kwenye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.
Hatua hiyo imebainika...
Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga .
Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa.
Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama...
Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa.
Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
Wiki iliyopita baadhi ya walimu walilipwa pesa zao za likizo baada ya nafikiri kulalamika humu jukwaani.
Pesa hizo wamelipwa baadhi ya walimu, tunauliza kwanini ubaguzi huu? Kwanini baadhi walipwe na wengine wasilipwe. Je ni kwasababu ya rushwa au kujuana? Mheshimiwa waziri Mchengerwa...
DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake.
Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo...
Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Emmanuel Mkongo
Heshima yako mkuu!
Nitajitahidi kuandika andiko fupi sana!Nakumbuka kwenye vikao vyako vingi huwa unawaencorage sana wana Bunda kupambana zaidi badala ya kukata tamaa! Awali hawakuweza kukuelewa ila Kwa sasa wamekuelewa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.