ded

  1. JanguKamaJangu

    DED Halmashauri ya Igunga akamatwa, siku chache baada ya kudaiwa kuwepo kwa upigaji kwenye Halmashauri aliyotoka

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo. Mkurugenzi huyo alikamatwa Novemba 05, 2023 majira ya mchana wakati akiwa amerejea kutoka mkoani...
  2. Mjukuu wa kigogo

    Hongereni DED Bunda, mnaipambania sana 🙏

    Kipindi Fulani hii wilaya ilikuwa ustaarabu mdogo sana kuanzia usafi nk.Ila Kwa sasa napenda kuupongeza Kwa dhati ushirikiano uliopo kati ya MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA ambaye hapo awali alikuwa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, pamoja na Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr.Vincent...
  3. Stephano Mgendanyi

    Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

    Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo. Akizungumza...
  4. K

    Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  5. Lord Lofa

    DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  6. Rusumo one

    DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga ili kupisha uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), kwa madai ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi...
  7. Roving Journalist

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amtaka DED Busega ajitafakari

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo. Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...
  8. LESIRIAMU

    Dkt. John Pima aliyekuwa DED Arusha na wenzake wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Agost 31, 2023 na Hakimu Seraphin Nsana, katika kesi namba...
  9. R

    Naomba tuweke rekodi sawa kuhusu kutumbuliwa DED na DC Mtwara

    Rais Samia amesema hajapendezwa kuhamisha miradi kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kwa vile pale wananchi wanawaunga mkono wapinzania. Hii ina maana kuwa amewatumbua kwa kuhamisha miradi na kuwaaacha wananchi wanaounga mkono wapinzani bila huduma. Amesema "kwani wale si wananchi"? To...
  10. B

    Poleni Sana DC na DED Mliotimuliwa: Kesho Watoto wenu wataenda Shule kama watoto wa Mwananchi wa Kawaida

    Nimewaza mengi na kuwaonea huruma. Lkn Cheo ni Dhamana, iwe ulihongwa au ulikipata kwa sifa za kiutendaji, ni DHAMANA Inawezekana yako mengi katika yaliyofanya hawa watu watimuliwe, lkn Mh. Rais katika maongezi yake liko jambo kubwa kalisema ambalo ndio hasa limeshababisha WANA CCM KURUDISHA...
  11. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Deogratius Ndejembi aagiza kufanyika tathmini ya ukarabati ya nyumba za waalimu Ruvuma na kuchukua hatua

    NAIBU WAZIRI NDEJEMBI ATOA MAAGIZO KWA KATIBU TAWALA WA MKOA NA WAKURUGENZI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mhe. Deogratius Ndejembi amemwagiza Katibu tawala wa Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha anafanya Msawazo ndani ya Mkoa wake kwa maeneo ambayo yanaupungufu wa watumishi na kuwaelekeza wakurugenzi wa...
  12. Carlos The Jackal

    Rais Samia, mbona umewafuta ma DED wenye Hati Safi baadhi ya Halmashauri huku ukiwarejesha Ma DED uliowatumbua huko nyuma kwa uozo wao?

    Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?. Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini?? Mbona wanakugombanisha na watu?. Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi. Nikajua...
  13. Carlos The Jackal

    Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa. Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
  14. Stephano Mgendanyi

    Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Ma DC na Ma DED Nchi Nzima

    WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wote nchini kwenye Halmashauri zao Kusimamia Kutokuwepo kwa Michango Holela inayo kera Wananchi na...
  15. F

    Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
  16. saidoo25

    DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  17. Mkaruka

    Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  18. TaiPei

    Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

    Mama nakusalimu kwa jina la JMT, Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation" Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii, Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
  19. CM 1774858

    Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

    Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali, == Mhe Joanfaith akiwa...
  20. Vugu-Vugu

    Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki, Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi, Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...
Back
Top Bottom