Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani.
Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo.
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
barua
ccm
ded
january makamba
jpm
maendeleo
makamba
matajiri
mawaziri
mbunge
paramagamba kabudi
serikali
serikali za mitaa
ubunge
uchaguzi
uhusiano
wabunge
Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT.
Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo na waliambatanisha.
Ikiwa imesalia chini ya saa 1 KWA AJILI YA RUFAA, bado hataki kutoa fomu ya...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM
“Mkuu wa...
Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndio ametangazwa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.
Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
Habari wanabodi,
Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi.
Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
Mheshimiwa DED MAGU salaam,
Napenda kukueleza machache kuhusu Idara yetu ya Elimu msingi kwenye Halmashauri yetu ya Wilaya ya Magu kama ifuatavyo:
Idara ya Elimu wilayani Magu imeyumba tangu alipohama Yesse Kanyuma, aliyekuwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu.
Baada ya Kanyuma kuhamishwa aliletwa...
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.