Nawasalimu kwa jina la JMT,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki,
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono ilikuwa mingi hasa humu mitandaoni,nikiwamo na Mimi,
Majuzi nilifanikiwa kufika Wilaya ya Malinyi...