Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale na watumishi saba wa halmashauri ya Wilaya ya Kilosa waliodaiwa kuiba mabati 1,172 wameyarejesha wilayani humo.
Hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim alieleza kuwatia mbaroni watumishi saba...