ded

  1. Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

    Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
  2. Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  3. M

    Uchaguzi 2020 Msimamizi Msaidizi Kata ya Ambureni agoma kutoa Fomu ya Rufaa kwa aliowakata, asema wazifuate kwa Mwenyekiti wa NEC Dodoma, amgomea hata DED

    Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT. Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo na waliambatanisha. Ikiwa imesalia chini ya saa 1 KWA AJILI YA RUFAA, bado hataki kutoa fomu ya...
  4. Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  5. Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  6. S

    Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  7. Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  8. Uchaguzi 2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

    Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
  9. Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

    Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndio ametangazwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  11. Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  12. DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Mheshimiwa DED MAGU salaam, Napenda kukueleza machache kuhusu Idara yetu ya Elimu msingi kwenye Halmashauri yetu ya Wilaya ya Magu kama ifuatavyo: Idara ya Elimu wilayani Magu imeyumba tangu alipohama Yesse Kanyuma, aliyekuwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu. Baada ya Kanyuma kuhamishwa aliletwa...
  13. R

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile Huu ndio mfano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…