An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).
Ni Kijana ninayetarajia kuelekea Dar kutafuta degree katika moja ya vyuo vilivyopo mkoani Dar es Salaam sasa kama kijana kuna muda ntahitajika kujichanganya katika shughuli mbalimbali za kujipatia kipato nipate hela ya kodi, chakula n.k
Hivyo kwa wenyeji au waliowahi kuishi wanipatie maelekezo...
Habari ndugu zangu,
Kichwa cha uzi kinajieleza.
naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam?
Hoja yangu ni hiyo naomba kuwasilisha.
Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za...
Habarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.
Alama...
Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi...
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).
Alikaza sana aliacha michezo...
Wana JF habari za Weekend?
Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo hivyo viwe vinatambulika na TCU.
Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake.
Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na mashinikizo ya kubatilisha shahada ya heshima ya Trump kutoka kwa wafanyakazi, wanafunzi wa sasa na...
Naitwa Paul Sirai Peter ni kijana mbunifu na kwenye jitihada yangu nimalize nilikuwa napima watu pressure masokoni kwa Mia mbili kabla ya kutakiwa kupata kibali hivyo naomba msaada wa kibarua chochote kitachonipa angalau mkate wa Kila siku.
0689052541
Habari Nina diploma ya ualimu wa masomo ya chemistry na biology nilie ajiriwa na nilipata GPA 4.9 upper first class je Nina weza kusoma masters degree na ni chuo gan hapa Tanzania kinaweza nichuakua naombeni msaada wenu
Habarini za wakati;
Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika au kampuni au mahali pengine popote iwe kwenye stores, marketing, customer services department au...
Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado.
Nina ujuzi wa computer kiasi
Nmefundisha tuition
Nimechoma chips
Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie
Tel 0689052541
Habarini wakuu, natafuta kazi ya ualimu masomo ya physics na chemistry nimegraduate mwaka huu nipo mwanza, lakini naweza kufika sehemu yoyote Tanzania. Kwa atakenisaidia kupata sehemu ya kujishikiza siwezi kumuacha patupu.
Advance nilisoma PCB na nilipata division 2 point 12...
GPA ya Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.