Nafasi ya Cheti kwenye Ajira
Miaka ya 1980s kurudi nyuma, hali ilivyokuwa ni kwamba serikali ilikuwa ikihitaji watumishi wengi, lakini waliokuwa na sifa ambazo serikali ilikuwa ikizitafuta, walikuwa wachache. Wanafunzi waliokuwa wakihitimu kidato cha nne, walikuwa na fursa za kuajiriwa moja...