demokrasia

  1. Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
  2. Demokrasia vs Uchumi

    Kunatofauti kubwa Kati ya Demokrasia na Uchumi, na nivitu ambavyo haviendi Pamoja, lakini vilevile Ikiwa kimoja kitainuka lazima kingine kianguke. Demokrasia katika ulingo wa kisiasa kwa upana wake haishii kwenye kuchagua na kuchaguliwa, Bali inaenda Mpaka kwenye uwajibikaji wake, Yakwamba...
  3. Macron akiri demokrasia yaelekea kushindwa duniani.

    Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron amesema utawala wa kidemokraisia unaelekea kufa duniani kote ikiwemo Marekani kwenye. Katika kile alichokiita mzozo wa kidemokrasia Macron amesema hali hiyo inatokana na ukandamizaji na hali ya mchafuko unaoletwa na demokrasia.
  4. B

    Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  5. Kitila Mkumbo: Demokrasia ya Tanzania hadi bwana mkubwa aamue iwe

    Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
  6. Siku ya demokrasia duniani

    Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka. Siku hii inaadhimishwa kwa madhumuni ya kukuza na kuendeleza demokrasia katika kila nchi kwa...
  7. Septemba 15 ni Siku ya Demokrasia Duniani

    The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and support by the international community, national governing bodies, civil society and individuals, can...
  8. Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

    Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
  9. K

    Kenya ni mfano wa kuigwa kwenye Demokrasia

    Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo...
  10. S

    Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  11. J

    Wapenda demokrasia ile kesi ya kupinga Urais wa Ruto iko mubashara, leo ni utetezi

    Kumekucha tena. Kesi imeshaanza kusikilizwa ambapo Raila Odinga anapinga ushindi wa Dr. Ruto. Mubashara Citizen tv. cc: Wakili Pascal Mayalla
  12. Kenya wanatupa somo kwamba wao ni mabingwa wa demokrasia. Chebukati anatuonesha jinsi ya kusimamia uchaguzi

    Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni jambo lingine lakini pia kumpata mwenyekiti asiyegemea upande wowote ni jambo lingine. Chebukati...
  13. Demokrasia huja kwa gharama sio lelemama, wagombanao ndio mapatanao. Tozoland tusahau uchaguzi huru na wa haki mpaka pale tu

    Peace be upon you all, Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki. Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya wamefika katika level hiyo ya uwazi baada ya machafuko waliyobatizana kwa mapanga na damu kumwagika...
  14. Miaka 30 ya Mfumo wa Demokrasia na Vyama Vingi Tanzania: Mjadala wa Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma

    Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam. GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria mbovu, bali tuna Sheria zilizopitwa na wakati, zinazohitaji kufanyiwa marekebisho ili kuendana na wakati...
  15. KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

    KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
  16. Myanmar: Jeshi lawanyonga Wanaharakati 4 wa Demokrasia

    Wanaharakati wanne wa demokrasia akiwemo Mbunge wa zamani Phyo Zeya Thaw wamenyongwa na jeshi la Myanmar wakituhumiwa kwa mipango na kufanya njama za vitendo vya ugaidi Wanaharakati hao walihukumiwa kifo katika kesi za siri mwezi Januari na Aprili, kwa kituhumiwa kwa kusaidia waasi kupigana na...
  17. J

    Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  18. S

    Rais Samia anafanya usanii wa demokrasia. Maridhiano ni janja tu ya kujisafisha kimataifa

    Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani. Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
  19. N

    RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

    Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19 Nasema hivi ile ahadi ya Ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa Rufaa...
  20. P

    Wenyeviti 'wakongwe' vyama vya siasa wanaopigania demokrasia

    Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala. Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…