Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021.
Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita asilimia 45.7 ya watu ulimwenguni waliishi katika aina fulani ya demokrasia, ikiwa ni kiasi cha...
====
Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
Kuwawajibisha maafisa wa serikali ni kitovu cha demokrasia. Uwajibikaji wa kidemokrasia unawapa wananchi na wawakilishi wao nafasi na njia ya kutoa maoni yao na kupatiwa maelezo kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa kuchaguliwa na wale wasio wa kuchaguliwa, na inapobidi wanashauri hatua za kuchukua...
Kura za kumpata spika zinapigwa ndani ya BUNGE, nilitegemea CCM itapitisha wagombea kama watatu hivi na kupigiwa kura za kugombea nafasi ya uspika . Ofisi ya katibu wa BUNGE ndio hutoa jina la atakayepigiwa kura .
Je kama Tulia alipigwa chini na ofisi ya BUNGE itakuwaje. Dr Tulia alitakiwa...
Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada;
Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
Kufuatia kujiuzulu kwa Ndugai Uspika, tulitegemea mchakato wa kuchagua spika ungefanyika kwa uwazi na kuwepo kwa Demokrasi ya kweli, hasa hasa ktk kipindi hichi ambacho kuna kilio kikubwa kuhusu mapungufu ya Katiba yetu na usimamizi wa utendaji wa Serikali na teuzi zake. Kupendekezwa kwa...
Mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala ya Libya Stephanie Williams amesema anapendekeza kufanyika uchaguzi wa Libya ifikapo Juni, baada ya kushindikana kufanyika uchaguzi huo wa rais mnamo mwezi Desemba mwaka uliopita.
Stephanie Williams ameliambia shirika la habari la...
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
Na Fadhili Mpunji
Tarehe 9 na 10 mwezi huu Rais Joe Biden wa Marekani atakuwa mwenyeji wa unaoitwa “mkutano wa kilele kuhusu Demokrasia” ambao utawakutanisha viongozi kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na sekta kibinafsi. Mkutano huo unatarajiwa kuangazia changamoto na fursa zinazokabili...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia.
I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano.
Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana...
Hakika Nchi yangu Ngumu sana
CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi
Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano.
Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA
Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka 2019.
Kilimwengu, mtu mmoja katika kila watu wanne anaishi katika taifa ambalo demokrasia yake...
Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa.
Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji?
Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama cha Upinzani atakuwa huru kufanya na kusema atakayo then mwananchi anakosa huduma muhimu ndo iwe...
(i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu wasiojiweza hulazimika kuuza kura zao ili kutimiza mahitaji yao ya Msingi
(ii) Ufisadi na Uzembe: Katika...
Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa.
Kwa maoni yangu...
Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika.
Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia.
Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
NA FADHILI MPUNJI
Katika kipindi cha miongo mitatu hadi minne demokrasia ya China imekuwa inafuatiliwa kwa kina na wachambuzi wa maswala ya kisiasa. Ufuatiliaji huo umetokana na miujiza ya kiuchumi iliyofanywa na China, na wachambuzi wanajaribu kujua ni kipi China imekifanya na kufikia hapa...
Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia.
Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini.
Mambo matano ya yanayofanya umaskini kwa sumu kwa demokrasia ni;
1. Umaskini unadumuza kwa kiasi kikubwa uwezo wa raia kufikiri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.