Bunge huru hutunga sheria huru na Mahakama huru hutafsiri hizo sheria bila kuingiliwa na mhimili wowote, kuhakikisha sio kandamizi kwa Raia na zinatumika katika maono mapana ya taifa kwa ujumla.
Pia Bunge huiwajibisha Serikali na kuhakikisha matumizi sahihi ya kodi za wananchi, vilevile...