Utangulizi
Mwanadamu ameumbwa na vionjo vya asili vya matamanio. Vionjo hivi humuongoza katika kubuni na kujenga mazingira kufikia matamanio yake.
Kwa mujibu wa mwanasaikolojia Abraham Maslow, katika kanuni yake kuhusu mpangilio wa vipaumbele vya mahitaji ya mwanadamu, amebainisha kuwa mahitaji...