deni la taifa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

    "Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12. Pia, Soma Serikali: Deni la taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mwigulu kama unakopa kuleta Umeme, Barabara wewe kopa. Sisi Bunge tutapitisha na tutawalinda

    Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo Juni 18, 2025, amechangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma. Katika mchango wake, amezungumzia Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Taifa na bajeti...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna siku nchi itapigwa mnada, kasi ya deni la Taifa ni maajabu, kutoka Trilioni 55 mwaka 2021 hadi Trilioni 107 mwaka 2025

    Wakuu, hebu tukae kitako! Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua. Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa: Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?

    Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare za harusi?" Soma, Pia: Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aunda tume ya kukagua Deni la Taifa na kujua ukweli wake

    Deni letu la Taifa linalipwa kwa Kodi hizi ambazo Daily zinaongezeka, na mbaya zaidi hatujui nani alikopa na kwa matumizi gani.Ila tunalipa. Sana tunacho jua kuna Deni la Taifa ila lilikopwaje hatujui. Kenya wao sasa Ruto ameamua deni la Taifa likaguliwe ili kujua uhalali wake make inawezekana...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  7. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

    Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka. Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…