Kuna siku nchi itapigwa mnada, kasi ya deni la Taifa ni maajabu, kutoka Trilioni 55 mwaka 2021 hadi Trilioni 107 mwaka 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.7 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 10 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma
 
"watanzania ni kama maiti" maneno ya Araph Moi wa Kenya. Nchi ipigwe mnada mara ngapi? Nchi imeshauzwa tayari. Uwanja wa ndege KIA umeuzwa, ngorongoro, Serengeti, bandari. Ndugai alijitoa muhanga akawapa CODE ila watanzania ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau.
 
Hapa tunaongeza mzigo kwa vizazi vyetu, na hii inatokana na kuwa na viongozi ambao hawana habari na hatima ya wananchi wa kawaida. hawana uchungu wao wameshajilimbikizia vya kutosha. haiwezekani kila mwaka deni linazidi kupanda na vyanzo vya mapato ni vilevile tu. na uzakishaji wa ndani ni mdogo na watunga sera wamekaa tu wanawaza kujiongezea marupurupu na anasa zisizokuwa na msingi tuamke jamani.
 
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la serikali:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.07 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 9.72 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma
Watakuambia deni n stahimili

Ubaya wakikopa wanaita deni la Taifa ila wakizipokea tu katika matumizi zinaitwa hela za mama. Wanakopa tu mabarabara mabovu mno. Sijui wanapelekaga wapi hayo mamikopo zaidi ya kununua magoli na kuwapa wasanii na KKKT
 
1000208159.jpg

Alafu tuambiwe den la taifa
1000208159.jpg
 
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.07 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 9.72 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma
Samia ni fisadi aliye kubuu ana laana ya ufisadi
 
Hawa wezi wahuni wanaiba kwenye hiyo mikopo mikubwa wanayokopa, wizi kwenye makusanyo ya ndani hauwatoshi.
 
Hizo Pesa anapeleka wapi huyu mama, Barabara bado mbovu, maji Shida, nk
 
Bajeti ya TZ ujue Zbar imo ndani wakati wao wanabajeti yao ya trilioni 6 bara hatuna chetu.
Population bara ni mara 34 ya Zanzibar lkn bajeti haifiki mara 10 ya bajeti yao nabado kwenye bajeti yetu tunawagawia sio?
Zbar wapo kama 1.8mil. bara wapo kama 62mil. alafu Marais wapande zote wanaoteka zbar??!?!!??🤣🤣
Zbar nchi ndooogo kanampangilio kuanzia katiba yao,bunge lao,bajeti yao nk lkn bara lieneo likuuubwa lisiloeleweka maana sio nchi nikelele za wanasiasa uchwara na wananchi wajinga wanaoimbishwa mama mama usiku mchana!!
Ilo deni lifike hata trilioni 200 mzenji halimshtui mradi wanaamua mamboyao kwenye bungelao nawao hawakopi kizembe wao ni swalatano wacha maj**nga yakope kwa niaba🤣🤣.
YOU POOR TANGA. NYIKANS NINANI ALIWAROGAAA?
 
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.07 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 9.72 kutoka TSh. Trilioni 97.35
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.07 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 9.72 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma

Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.07 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 9.72 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma
Deni la taifa ikiwa kubwa inapelekea kupanda Kwa garama ya maisha Kwa WANanchi kwasababu kutukwa na ongezeko la Kodi , jaribu kuchunguza hili wakati deni la taifa ILIVYOKUWA ndogo huduma nyingi zilikuwa zinapatikana Kwa bei ndog ulinganisha NA SAS

Matumizi holela ya resilimali ya taifa hili Kila mwaka tunalipa zaidi ya trillion 10 nje kwasababu ya deni la taifa wakati huo hatuoni hyo mikopi imefanya kazi gani
 
Wakuu, hebu tukae kitako!

Ghafla nimeikumbuka ile kauli maarufu ya Job Ndugai aliposema, "Kuna siku nchi itapigwa mnada" akionya kuhusu mzigo mkubwa wa madeni unaoendelea kukua.

Hebu tuangalie hali mwenendo wa Deni la Taifa:

Deni la Taifa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka. Mwaka 2019, wakati Waziri wa Fedha na Mipango akiwa Dkt. Philip Mpango, deni hilo lilikuwa Shilingi Trilioni 51.03, likiwa limeongezeka kutoka TSh. Trilioni 49.86 mwezi Aprili 2018.

Hadi kufikia Aprili 2021, deni hilo lilikuwa TSh. Trilioni 60.9.

Kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, deni la Serikali lilifikia TSh. Trilioni 82.25, sawa na ongezeko la asilimia 15 kutoka TSh. Trilioni 71.31 mwaka wa fedha 2021/22.

Mwaka uliofuata, hadi kufikia 30 Juni 2024, deni hilo liliongezeka na kufikia TSh. Trilioni 97.35 kutoka TSh. Trilioni 82.25 ya mwaka 2022/23.

Na hadi kufikia Aprili 2025, deni la Serikali limeripotiwa kufikia TSh. Trilioni 107.7 ikiwa ni ongezeko la TSh. Trilioni 10 kutoka TSh. Trilioni 97.35

Haya madeni yote tunayokopa, matokeo yake ni yapi kwa wananchi wa kawaida?
Barabara? Huduma za afya? Ajira? Maji? Elimu bora? Au tunaongeza mzigo kwa vizazi vijavyo?

Pia, Soma
Umechanganua vema cha ajabu machawa akina.. Lucas mwashamba, choicevariable, tiatiaah, jingalao and co wanashindwa hata kuainisha mamb ya msingi kama haya. Kazi ni ku praise and worship!!
 
Embu tulitafute gereza kwa nguvu zetu wenyewe..
Hapo ni from uchochezi to prison... manaake hawakawii nchi hii...
 
Back
Top Bottom