Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.

​
Pia, Soma
 
Kweli uchumi wetu unakua kuliko USA...tunadaiwa hela kidogo sana😍😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰
 
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
💩=💩 hakuna muislamu mwenye akili ...Tanzania tunarudishwa nyuma na viongozi waislamu
 
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Kwa hiyo deni likibadilishwa kwa dollar tunapeta tu.....siyo? Vipi ile comparison kuwa umewashinda marais wote wanne waliokutangulia kwa kukopa? Halafu unatuambia kwamba mnakusanya fedha nyingi inayoweza kutosheleza nchi, na kwamba uchumi wa Marekani na Ulaya ni mbovu ila wa kwetu ni bora. Maelezo tafadhali.
 
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Kwani miaka ya nyuma deni lilikuwa halitajwi kwa shilingi ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom