Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi Elon Musk aliinunua Twitter kwa dola bilioni ngapi?Aisee kumbe sio nyingi bwana! Tubilioni 39 tu!!
Kumbe anaweza kutulipia kadeni ketu kote 😂
Hivi Elon Musk aliinunua Twitter kwa dola bilioni ngapi?Aisee kumbe sio nyingi bwana! Tubilioni 39 tu!!
Kabisa. Kumbe tunaogopa bure tu!Hivi Elon Musk aliinunua Twitter kwa dola bilioni ngapi?
Kumbe anaweza kutulipia kadeni ketu kote 😂
Moderator mbona huyu jamaa hamumpigi ban na kauli zake mbaya za udini?💩=💩 hakuna muislamu mwenye akili ...Tanzania tunarudishwa nyuma na viongozi waislamu
'Kila Rais akileta deni lake, isichukuliwe ya mtu moja' na muwe mnaitaja kwa Dola, siyo kwa madafu🤣🤣🤣🤣🤣Deni letu pendwa ni dola ngapi....
Khaaa!"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Pia, Soma
Daktari Samia ameiva kwenye somo la uchumi."Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Pia, Soma
Lucas Mwashambwanilipenda hotuba yake ya jana. kaongea kwa utulivu imevutia kwakweli
Oh God why did you allow this, retard to be President, kwahyo anashangaa Deni kubadirika kadri dola inavyopanda na kushuka? Hv hakujua kuwa, Deni letu lipo interms, of dollars, alifikri wazungu wanaakili kama za Mwigulu, waweke pesa zao wanazorukopesha kwenye pesa, za, madafu, wanataka walipwe kwenye dola, walitupa dola, lazima, turudishe dola, sio, kwamba dola umepanda, ni, pesa, yetu imeshuka thamani, kama, toilet paper"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Pia, Soma
😁😁😁😁Tubilioni kadhaaAisee kumbe sio nyingi bwana! Tubilioni 39 tu!!
Oktoba tunatikiDaah watu wana hasira sana aisee nyuzi zake zote wanatukana hatari ...
Karibu sana kwenye jukwaa hili muhimu. Mwanzo wako mzuri sana kuelekea unapopataka. Kikubwa hakikisha hujavaa miwani ya mbao tu baaasi!Hata wakikujibu itasaidia nn mkuu