Diego silva
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 414
- 671
Sawa dadaKaribu sana kwenye jukwaa hili muhimu. Mwanzo wako mzuri sana kuelekea unapopataka. Kikubwa hakikisha hujavaa miwani ya mbao tu baaasi!
Sawa dadaKaribu sana kwenye jukwaa hili muhimu. Mwanzo wako mzuri sana kuelekea unapopataka. Kikubwa hakikisha hujavaa miwani ya mbao tu baaasi!
...Sawa dada
Doria JF?Duuu!!! Kambale unajua kama polisi wapo doria?
Samia aondoke madarakani, huyo siyo rais wetu"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Pia, Soma