Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Sasa currency yetu si ni shilingi ya Tanzania? Au tutaje kwa dinari ili kupunguza makali? 😃😃😃
 
"Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka kutokana na Exchange Rate hivyo kuongezeka kwa deni isichukuliwe kama kitu kibaya bali ni hatua muhimu ya kukabiliana na mtikisiko wa uchumi kidunia" - Rais Samia akihutubia Bunge la 12.
Duh inapidi kuwepo na chuo cha kukuza uelewa na namna sahihi ya kupambanua mambo
Kwa viongozi wetu.

Ukubwa wa deni uko pale pale hata kama deni hilo lingetajwa kwa pesa za Burundi.

Nashauri,ili kupunguza ukubwa wa deni tuanze kulitaja kwa fedha ya Zambia.


Huyu hafai kabisa kuwa rais hata kidogo
 
Huyu naye anyamaze tu! Kila anachoongea ni PUMBA TUPU!
 
Hivi ni nini hasara ya kutokuwa na deni na nini faida ya kuwa na deni? Swali hili wachumi na watu wa fedha wanalikwepa mara nyingi.
 
Back
Top Bottom