deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Teargas

    Sources of Tanzanian external debts

    Ni aibu Sana kuona Tanzania inakopa Deni kwa nchi maskini kama Angola. Iran na Iraq nazo ilowakopa mabomu ama Nini🤣😂😂🤣
  2. Mshana Jr

    USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  3. las Casas

    HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  4. L

    Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

    Safari ni ndefu kutoka 10.8 milioni hadi 1.5 milioni miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu. Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani? Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja. Mungu mkubwa.
  5. J

    Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  6. J

    Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  7. msovero

    Dkt. John Magufuli amekufa na deni letu, Rais Samia tunaomba suluhu yako

    Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania. Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za ualimu. Kati ya hizo ni ajira 8000 tu zimetolewa katika awamu ya kwanza nazo zilitolewa angali bado...
  8. J

    Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  9. Komeo Lachuma

    Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
  10. Snowden E

    Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
  11. Q

    CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  12. Miss Zomboko

    Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu. Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
  13. C

    Kukopa na kutokulipa deni, Kama una tabia hii jitathimini sio nzuri kwani inapunguza uaminifu na kuvunja uhusiano pia

    Mambo vipi wakuu Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu. Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa. Kiukweli hili jambo...
  14. MK254

    China yatia pembeni deni la Kenya hadi baadaye, mlisubiri sana kuona tukidondoka

    Wamekubali kusubiri kwanza tudundulize hela za kutosha Kenyan President Uhuru Kenyatta (Left) and Chinese President Xi Jinping prior to a bilateral meeting in Beijing, China in 2018. PSCU China has revealed that it is ready to suspend Kenya's debt nearly a week after the country received the...
  15. U

    Kuhusu deni la bodi ya mikopo (HESLB)

    Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali. Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
  16. Omari Makoo

    Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli? Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB. Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni...
  17. J

    Nashukuru Rais Magufuli kuiomba China itufutie deni la Kiwanda cha Urafiki pale Ubungo!

    Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa. Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao...
  18. Analogia Malenga

    Auawa na ndugu yake kisa deni la Sh13,000

    Mkazi wa Kijiji cha Mvungwe wilayani hapa ameuawa kwa kushambuliwa na ndugu yake baada ya kutokea ugomvi uliotokana na deni la Sh13,000. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda ni kuwa mauaji hayo yalitokea jana saa 1:00 asubuhi katika...
  19. sekulu

    Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

    Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha. Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
Back
Top Bottom