Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.
Habari zenu wana jamvi.
Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile.
Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni.
Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
Kwa tathmini yangu, kama kuna kundi ambalo future yao imeharibiwa sana na sera, maamuzi na mienendo ya serikali ya Magufuli, basi kundi hilo ni la vijana.
Kwanza, tukianzia kwenye sheria kandamizi zinazotingwa kila siku ambazo zinafunga mianya hata ile midogo iliyokuwa imebaki ya vijana kuweza...
Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi.
Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.
Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi.
Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu...
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad...
Ndugu zangu kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa Rehema zake, Nijikite kwenye mada yangu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ACT-Wazalendo na CHADEMA mnadeni kubwa kwa watanzania.
Ndugu zangu waswahili husema uungwana ni kitendo na ukiahidi tekeleza, itakumbukwa kwenye...
Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi.
Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao.
Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
Mwaka 2017, nchi yetu ilipata mkopo wa dola za kimarekani kutoka benki ya Exim ya Uturuki ya dola za kimarekani bilion 1.2 ambazo ni sawa na takriban shilingi Trillion 2.76 za kitanzania kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro tu.
Kwa mujibu wa tweet ya mheshimiwa Zitto...
Katika karne ya 19 wakati huo China ikitawaliwa na mfalme (Kipindi cha Qing Dynasty), Serikali ya China ya wakati huo ilitafuta fedha za kujenga reli kutoka jimbo la Hunan hadi mji wa Guangzhou.
Ili kupata fedha iliamua kuuza treasury bonds kwa watu wa nchi za West, wakiwemo wamarekani...
Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu.
Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika
Chanzo: Mwananchi
====
Licha ya Serikali...
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu.
Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
Hakuna kitendo binadamu anatenda ambacho hakina historia yake. Bahati mbaya sana Waafrika tulifungia akili kabatini tukakataa kusoma masomo kama evolution, anthropology, n.k. Wakati waliotuketea imani zao wao wakiendelea kusoma.
Moja ya somo walilotukataza linaitwa "semiotics". Semiotics ni...
Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19
Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya kupigwa na COVID19, ukuaji wa uchumi wake ulitarajiwa kushuka kutoka 5.1 hadi 2.0
IMF imesema...
=======
Hotuba Ya Waziri Mpango Akiwasilisha Bungeni Bajeti Ya Mwaka 2020/21
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2020/21. Bajeti hii ni ya tano ya Serikali inayoongozwa na...
LDC to the core. This is now the nth time Tanzania wameshindwa kulipa deni. This is total embarrassment.
======
IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust
June 10, 2020
The IMF...
Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi:
1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu.
2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni...
Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine
Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.