Nazungumzia namna ya kulipa deni ulilorushiwa kwa M-pesa, Tigopesa, halopesa nk. Katika maisha ni kawaida kukwama na kuomba marafiki watunasue na kamkopo.
Mtu anakukopa tuseme laki tano. Unamrushia kwa mpesa (yaweza kuwa mtandao mwingine wowote) laki tano na elfu kumi ili apate na ya kutolea...