dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu kumsikiliza mchungaji au sheikh zaidi ni dalili ya kukosa baba au kuwa na baba dhaifu

    MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio kiuchumi tuu Bali Kimwili, Kiroho na kiakili. Kama Baba unahitajika ujue mambo mengi Sana. Mambo...
  2. Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

    Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025 1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra 2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone 3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc 4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling 5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian Franc 6)-Democratic...
  3. L

    Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  4. Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

    KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake. Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa...
  5. S

    Kuhujumiana: Kuna siku Simba mtacheza na timu itayopanga kwa makusudi kikosi dhaifu na sijui mtajiteteaje

    Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema. Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili wachafuliwe,. basi siku si nyingi na Simba yatawkuta. Si lazima timu ipange kikosi dhaifu, bali zinaweza...
  6. G

    Madhara ya amani ktk taifa. "Natural Selection" haifanyiki hivyo hata watu dhaifu huishi na kupata madaraka.

    Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest". Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
  7. Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  8. Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

    Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki w
  9. Tathmini zinasema Lissu ana nguvu nje ya chama kwa wapiga kura za Urais wa nchi, kwa nini aliamua kugombea ndani ya chama ambako ni dhaifu?

    Kwa maoni yangu, Lissu angejikita katika kujiimarisha katika kugombea nafasi ya urais (japo asingeshinda). Hata watu wake wa karibu wanasema Lissu ana nguvu sana nje ya chama kwa wananchi wa kawaida ambao wanapiga kura za urais. Kwa nini aliamua kujidhoofisha kwa kugombea Uenyekiti wa chama...
  10. Wanaume dhaifu ndio wapiga kelele wakubwa wa wanaume kutotembea na wake za watu

    Kelele kubwa inayopigwa na wanaume wa Tanzania kukatisha tamaa wanaume kutembea na wake za watu inatokana na inferiority complex(hali ya kujihisi duni). Hakuna mwanaume anayejiamini atakaa anafikiria mke wake au wake za watu kutoka na wanaume nje ya ndoa. Kauli za "mke wa mtu ni sumu" ni kauli...
  11. M

    Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  12. Vijana wengi sio dhaifu (Simps) tatizo ni mitishamba

    Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...
  13. Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  14. James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  15. CCM ni dhaifu sana. Ni hasara kuongozwa nao

    Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM. Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola. Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na nchi Iko rehani Kwa kuendelea kuwaacha CCM kuwa madarakani.
  16. Kuna fedha ambazo inadaiwa ni dhaifu kweli dhidi ya dola

    Weakest Currencies In the World. 1. Lebanese Pound/Lira (1 USD = 89,524.90 LBP) 2. Iranian Rial (1 USD = 42,225 IRR) 3. Vietnamese Dong (1 USD = 25,380 VND) 4. Laotian Kip (1 USD = 21,451 LAK) 5. Sierra Leone Leones (1 USD = 20,000 SLE) 6. Indonesian Rupiah (1 USD = 16,231 IDR) 7. Syrian...
  17. Nape na Mwigulu wanatumika sana kuonesha Rais ni dhaifu, hana uwezo.

    Mara nyingi Nape akilewa huwa anasema " sisi ndo tunamweka Rais na tukiamua tunamwondoa, sisi ndo CCM." Haya maneno watu wake wa karibu wengi pia watakuambia. Ni mtu anayependa sifa za Kipumbavu. Ana utoto mwingi sana Nape. Yeye na Mwigulu mara nyingi wanapenda Kumbagaza Rais. Kuonesha wao ndo...
  18. Madai na hoja za muungano, huja kipindi tukiwa na Viongozi dhaifu?

    Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma, Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole! Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli Hii inamaanisha...
  19. Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
  20. N

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Yapata wiki sasa tangu tupishane kiswahili na mwandani wangu Kuna muda wazo la kumcheki linanijia lakini najikaza kisabuni kwa kuogopa ataniona niko so weak kwake. Ooh my God why this happen to me. Lord give me strength to overcome this Kilichobaki akili na moyo vinapingana, moyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…